Wahandisi Sweden wazindua ndege za kutumia umeme

Your browser doesn’t support HTML5

Wahandisi wa Sweden wamezindua ndege ndogo ambazo zinatumia nishati ya umeme , tofauti na droni ndege hizi zinaendeshwa na marubani. Na lazima marubani hao wapitie mafunzo maalum.