Vijana watakiwa kujilinda na hatari za mitandao ya kijamii.

Your browser doesn’t support HTML5

Hatari za mitandao ya kijamii kwa vijana zimeonekana kuongezeka nchini Tanzania na afisa wa program wa TGNP Shekila Mayumana anawashauri vijana kujilinda na kutumia vyema mitandao ya kijamii.