Jumuiya ya Kimataifa yalaani mauaji ya kiholela nchini Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden ametaka jopo maalum kuanzishwa kuchunguza na kufungua mashtaka kuhusiana na uhalifu wa kivita katika mji wa Bucha, nchini Ukraine, ambako mamia ya watu wanaaminika kuuawa kiholela na wanajeshi wa Russia.