Wazazi waaswa kuzungumza na watoto wa kike ili wajikinge na hatari

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanaharakat na mtetezi wa haki za wanawake nchini Kenya Njeri Migwi ataka vyombo vya habari, wazazi na wadau kuchukua jukumu la kuwafundisha watoto wa kike kujikinga na hatari nyingi zinazowakabili.