Russia na Ukraine zajadili kusitisha vita katika awamu ya nne

Your browser doesn’t support HTML5

Awamu ya nne ya mazungumzo ya kusitisha vita kati ya Russia na Ukraine yanafanyika leo huku Kyiv ikisisitiza kwamba lazima Moscow isitishe mashambulizi na iondoe wanajeshi wake.


- Aliyekuwa Makamu wa Rais Kenya Mudavadi anasema nchi hiyo inaendelea kubeba mzigo mzito wa madeni.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari