Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) kuchangisha dola bilioni moja ili kuzuia mzozo wa chakula Afrika.
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa benki hiyo Akinwumi Adesina alisema AFDB inapanga kuzindua mpango wa dharura wa uzalishaji wa chakula ambao utazingatia kukuza kwa haraka pato la ngano, mahindi, mchele na soya.