Maisha na Afya Ep 76: Dawa mpya ya Alzheimer
Your browser doesn’t support HTML5
Ndani ya Maisha na Afya: Tunaangalia dawa mpya ya Alzheimer baada ya takribani miaka 20 na tutazungumza na mtaalamu wa afya kuhusu tatizo la Alzheirmers.Na tutaangalia wakina mama na unyonyeshaji huku ukiwa na Covid 19.