Changamoto za kuminywa uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari wenyewe zinarpotiwa kuendelea kuongezeka nchini Tanzania. Huku vitendo vya waandishi habari kunyanyaswa na vyombo vya dola vinaripotiwa kuongezeka wakati nchi hiyo iko nafasi ya 124 katika orodha ya uhuru wa habari dunaini.
Uhuru wa vyombo vya habari unakandamizwa Tanzania
Your browser doesn’t support HTML5
Changamoto za kuminywa uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari wenyewe zinarpotiwa kuendelea kuongezeka nchini Tanzania.