Wamarekani na mashabiki wa mpira wa vikapu kote duniani waomboleza kifo cha ghafla cha moja wapo ya wachezaji hodari kabisa wa mchezo huo Kobe Bryant.
Bryant ni moja kati ya watu 9 walofariki katika ajali ya helikopta akiwemo pia binti yake Gianna aliyefahamika zaidi kama, Gigi, karibu na mji mgodo wa Calabasas katika jimbo la magharibi la California.