Viongozi wa Jumwiya ya Maendeleo ya Kusine mia Afrika watowa wito kwa mataifa ya magharibio kuiondolewa Zimbabwe vikwazo vya uchumi. Na viongozi hao wameidhinisha kiswahili kuwa lugha ya nne rasmi ya jumwiya hiyo baada ya Kingereza, Kireno na Kifaransa.