Akihojiwa na Mwandishi wetu Sunday Shomari katika kipindi cha Kwa Undani, pia pamoja na mambo mengine amegusia matumizi ya neno udhaifu katika ripoti za CAG. Amehoji suala la kujiuzulu limetokea wapi. Amesisitiza kuwa iwapo kila mmoja atatekeleza majukumu yake kikatiba, ripoti lazima ifanyiwe kazi na mapendekezo yote ya ripoti lazima yatekelezwe.
Tanzania : Profesa Assad aeleza kwa nini deni la taifa bado himilivu
Your browser doesn’t support HTML5
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini Tanzania (CAG), Mussa Assad ametoa ufafanuzi juu ya deni la taifa limeongezeka lakini bado ni himilivu.