Ugojwa wa kifua kikuu bado ni tishio Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Licha ya kutambuliwa kuwa na ugonjwa wa kifua kikuu mgonjwa wa kifua kikuu nchini Kenya Eliud Chichi alikuwa akipatiwa madawa na sindano tiba ya ugonjwa ambao alikuwa hana.