Mawakili wa Afrika Mashariki wajadili soko huru la ajira

Your browser doesn’t support HTML5

Wakikutana nchini Kenya mawakili wa Afrika Mashariki wanakusudia kujadili muswada wa mataifa la soko huru la kibiashara na ajira.