Wavuvi wadogo nchini Kenya wemsema samaki wamepungua

Your browser doesn’t support HTML5

Wavuvi wadogo nchini Kenya wamesema kuwa samaki wamepungua sana katika pwani ya nchi hiyo ambako wavuvi wengi bado wanatumia uvuvi ambao hauna miundo mbinu ya kisasa