Washiriki wa kungamano la uchumi wa baharini wakubaliana kushirikiana

Your browser doesn’t support HTML5

Kongamano la uchumi wa majini ambalo linaendelea nchini Kenya leo limefikia siku ya pili, kwa washiriki kukubaliana kushirikiana katika ustawishaji wa uchumi wa baharini na maziwa na mito ili kuboresha maisha ya wote.