Wafanya biashara wadogo wadogo wa mpakani waomba kusikilizwa
Your browser doesn’t support HTML5
Wafanya biashara wadogo wadogo wa mpakani waomba kusikilizwa maombi yao ya kupewa nafasi katika mpaka wa Kenya na Tanzania ili waweze kuendeleza biashara zao mpakani hapo.