Kongamano la uchumi wa majini laendelea Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Washiriki zaidi ya 4000 na maraisi wa mataifa saba wamekuwa miungoni mwa watu waliohudhuria ufunguzi wa kongamano la uchumi wa majini lililoanza Nairobi Kenya.