Video Moto wauwa zaidi ya watu 40 Calfornia 13 Novemba, 2018 Your browser doesn’t support HTML5 Moto usiojulikana chanzo chake umeuwa zaidi ya watu 40 na kuteketeza makazi na misitu katika jimbo la California.