Moto wa porini waendelea kusambaa katika jimbo la California
Your browser doesn’t support HTML5
Wafanyakazi wa idara ya zima moto nchini Marekani wanajaribu kukabiliana na moto ambao umeteketeza sehemu kubwa ya mbuga ya taifa ya Yosemite, katika jimbo la California