Ni kinasababisha ugonjwa wa kupooza ubongo?

Your browser doesn’t support HTML5

Ugonjwa wa kupooza ubongo umeathiri mamilioni ya watu duniani kote. Madaktari katika baadhi ya nchi za Afrika wanasema ugonjwa huu unasababishwa na mambo kadhaa, Ungana na Mwandishi Kennedy Wandera kwa maelezo zaidi.