Waandamanaji wa NASA watawanywa na polisi Nairobi

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi wa Nairobi waliwatawanya waandamanaji wa upinzani walipofika mbele ya ofisi za IEBC kudai mageuzi yafanyike katika tume hiyo ya uchaguzi kabla ya uchaguzi wa marudio.