Maxence Melo, mkurugenzi mtendaji wa Jamii Forum afikishwa mahakamani
Your browser doesn’t support HTML5
Melo alisomewa mashtaka matatu yanayomkabili, likiwemo kuzuia kutoa taarifa za upepelezi kwa jeshi la polisi huku akijua kuwa jeshi hilo linaendelea na upelelezi.