Suala la uhamiaji lajadiliwa kwa upana katika kampeni za uchaguzi
Your browser doesn’t support HTML5
Kampeni za uchaguzi Marekani zinafikia ukingoni ambapo wagombea wote wa vyama vya Republican Donald Trump na Mdemocrat Hillary Clinton wameeeleza sera zao.katika makala hii ya uhamiaji Mary Mgawe ezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka chuo kikuu cha New York Prof. David Monda.