Wanawake 3 washambulia kituo cha polisi Mombasa

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake watatu wakiwa wameva buibui wakidai wameibiwa simu zao, walikwenda katika kituo kikuu cha polisi mjini Mombasa, Kenya ili kuripoti kisa hicho.