Septemba 11 yaadhimishwa Kabul
Your browser doesn’t support HTML5
Wanajeshi wa Marekani na NATO waadhimisha miaka 15 ya mashambulio ya Septemba 11 2001 huko Kablu kwa kuwakumbuka waathiriwa wa mashamblio hayo na wanajeshi walofarikia mnamo miaka hiyo yote kupambana na wafuasi wa itikadi kali.