Ugonjwa wa Homa ya manjano waathiri DRC

Mkusanyiko wa watu DRC

Homa ya manjano imekuwa ni tatizo kubwa kwa wananchi wa drc, hasa maeneo ya mashariki.

Katika makala hii ya afya tunazungumzia kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Mnjano huko Jmhuri ya kidemokrasi ya Congo . Wataalamu wa afya wanasema mwezi huu wa Aplili ugonjwa huu umeshika kasi zaidi katika maeneo ya mashariki ya nchi hiyo kutokana na mvua kubwa zilizoendelea kwa muda mrefu.

Mazalio ya wadudu kama mbu imekuwa ni tatizo linaloongeza maambukizo ya ugonjwa huo.

Your browser doesn’t support HTML5

HOMA YA MANJANO DRC