Sumaye: Nimeenda Upinzani kwa Kutaka Mabadiliko
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati joto la uchaguzi nchini Tanzania likiwa limepamba moto, viongozi wa kisiasa waliohama chama kimoja kwenda kingine wanasema wananchi wanataka mabadiliko. Waziri mkuu wa zamani Fredrick Sumaye amezungumza na Sauti ya Amerika akisema kwamba wakati wa kuacha chuki binafsi umefika.