Ripoti ya Mwai Gikonyo

Your browser doesn’t support HTML5

Kundi la Al-Shabab limeshambulia chuo kikuu cha Garissa kaskazini mashariki ya Kenya na kusababisha vifo vya watu 17 na karibu 65 kujeruhiwa.