Ripoti ya fuko la kufadhili miradi ya maji Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Muungano wa kipekee wa kuunganisha maslahi ya biashara na kuhifadhi mazingira, fuko jipya la maji limeanzishwa lenye lengo la kulinda vizuri Zaidi chanzo kikuu cha maji ya Nairobi, mto Tana.