Tunisia yalalamika dhidi ya kushindwa na Equatorial Guinea

CAN: Kocha wa Tunisia Leekens , Kati kai, azungumza na maafisa wa CAF baada ya timu yake nkushindwa

Polisi wanawatenganisha maafisa wa CAF kutoka wachezaji wa Tunisia wenye hasira CAN 2015

Wanahabari watizama kwa mshangao yanayotokea uwanjani wakati wa mchezo kati ya Tunisia na E. Guinea

Waequatorial Guinea washerehekea ushindi wa timu yao kusonga mbele katika nusu finali Jan 31st, 2015

Wachezaji wa Equatorial Guinea walindwa na polisi baada ya ushindi dhidi ya Tunisia

Mkwaju wa Penalti ulobadili kabisa mchezo kati ya Equatorial Guinea na Tunisia

CAN: Shabiki wa Tunisia akionekana na uchungu kutokana kushindwa kwa timu yao

CAN polisi wajaribu kumtowa shabiki aliyeingia uwanjani wakati Equatorial Guinea ilipoifunga Tunisia

Mashabiki wa Jamhuri ya Congo washauriana timu yao inaposhindwa

Shabiki wa Equatorial Guinea akionesha furaha zake kutokana na ushindi wa timu ya nyumbani

CAN Mashabiki wa DRC wakiangalia ikiwa timu yao itailaza Congo walipokua sare 2-2