Ripoti ya Abdushakur Aboud kutoka Ebebiyin
Your browser doesn’t support HTML5
Mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Abdulshakur Aboud yuko nchini Equatorial Guinea akiripoti kuhusu fainali za kombe la Afrika 2015 na mengine yanayoendelea kando ya fainali hizo.