Maaskofu wa Burundi waitaka serikali kuitikia wito wa upinzani
Your browser doesn’t support HTML5
Maaskofu wa Burundi waunga wito wa upinzani na asasi za kiraia kuitaka serikali kusitisha zowezi la kuandikishwa wapigaji kura kutokana na kasoro zitakazo hujumu uchaguzi mkuu wa mwakani.