Picha za maandamano huko Ferguson, Missouri. – Thursday, Aug. 21
Waandamanaji wakiandamana mitaani huku taa zikiwaka kwa mbali huko Ferguson, Mo.Agosti 20, 2014.
Waandamanaji wakipiga kelele mikono juu,usipige risasi huko Ferguson.Missouri,Agosti, 20,2014.
Maafisa wa polisi wakifanya doria mitaani wakati waandamanaji wakishiriki katika maandamano dhidi ya mauaji ya Micheal Brown.Manhattan,New York, Agosti 20,2014.
Mwanamke akiwa ameshika bango wakati wa maandamano dhidi ya kupigwa risasi ya Michael Brown.Oakland,Calif,Agosti,20,2014.
Mamia kadhaa ya waandamanaji wakiandamana kupita Oakland,California wakati wa maandamano dhidi ya kupigwa risasi Micheal Brown, Agosti 20,2014.
Mwanasheria mkuu wa serikali Eric Holder akimsalimu Capt. Ron Johnson afisa Polisi wa Missouri katika mgahawa wa Drake huko Florrissant, Missouri Agosti 20,2014.
Mwanasheria mkuu wa serikali Eric Holder akimsalimia Bradley J.Rayford miaka 22, kufuatia mkutano wake na wanafunzi katika chuo cha St Louis Florissant Valley huko Ferguson Missouri,Agosti 20,2014.