Je Nifanyeje
Your browser doesn’t support HTML5
Je Nifanyeje? Maamuzi ya Afya na Kijamii kwa Vijana - Kipindi cha dakika 30 kinacholenga vijana kwa kufuatulia maisha ya vijana, hasa wasichana, kuwasaidia kufanya maamuzi mazuri ya kiafya na kijamii
ambayo yanaweza kuwa na maana katika maisha yao milele. Kipindi hiki kina sehemu ya habari za afya, majadiliano, na maswali na majibu kwa madaktari na wataalam wengine.