Mahojiano na Asoumani Mundelwa

Your browser doesn’t support HTML5

Mchambuzi Mundelwa huko Kinshasa anasema wapiganaji wa M23 walivamia Goma kwa sababu Kabila alikata kuzungumza nao na hivi sasa watamlazimisha kuzungumza.