Pistorius aachiwa kwa dhamana

Oscar Pistorius stands in the dock ahead of court proceedings at the Pretoria magistrates court Feb. 22, 2013.

Baada ya kutoa maelezo ya karibu saa mbili na kukosoa vikali uchunguzi wa polisi katika eneo la mauwaji Hakimu Desmond Nair alaimua kwamba Pistorius anaweza kuachiliwa huru hadi siku ya kesi yake.