Mazungumzo ya Kampala juu ya DRC

  • Abdushakur Aboud

Your browser doesn’t support HTML5

Mazungumzo kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa kundi la M23 yalianza kwa mvutano huko Kampala. wajumbe wamekuwa wakilaumiana na hivyo hakuna anaejuwa matokeo ya mazungumzo hayo kwa hivi sasa.