SOWETO miaka 18 baada ya Uhuru

  • Abdushakur Aboud

Your browser doesn’t support HTML5

Miaka 18 baada ya uhuru wa Afrika Kusini kitongoji mashuhuri duniani kitovu cha vita dhidi ya ubaguzi wa rangi Afrika Kusini SOWETO , kingali na maendeleo yasiyo sawa kwa wakazi wake wote.