Vurugu za kidini Tanzania

  • Abdushakur Aboud

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi na jeshi la taifa la Tanzania walifanikiwa kuzuia maandamano kutokea katika jiji la Dar es Salaam siku ya Ijumaa kudai kuachiliwa kwa Shiekh Ponda