Mashambulio ya Nairobi na Garissa

  • Abdushakur Aboud

Your browser doesn’t support HTML5

Watu wamerusha gruneti kanisani Nairobi na kusababisha kifo cha mtoto mmoja na wengine kujeruhiwa. Muda mfupi baade washambuliaji wamewauwa polisi wawili Garissa