Kwa nini uhuru wa kuzungumza ni muhimu kwetu wote
Your browser doesn’t support HTML5
Uhuru wa kuzungumza ni moja ya thamini kubwa za Amerika zinazoheshimiwa sana.
Moja ya vitu vinavyolindwa na katiba ya Marekani ni uhuru wa kuzungumza hata kama matamshi hayo yanaweza kukasirisha thamini za watu wengine.
Hivi ndivyo wasemavyo viongozi wa Marekani kuhusu uhuru wa kuzungumza na kwa nini ni muhimu kwetu wote.
Tueleze mawazo yako kuhusu uhuru wa kuzungumza kwa kututumia barua pepe: voaswahili@voanews.com