Vesele, kijiji kidogo karibu na Bakhmut, kilikuwa na wakazi 102 kabla ya vita, na Krokhmalne, karibu na Kharkib, ilikuwa na wakazi 45 pekee.
Hatua ya Russia kuteka vitongoji hivyo kunawakilisha mwendelezo wa mafanikio madogo ya nchi hiyo wizara hiyo ilisema, wakati Ukraine inaendelea kuzingatia ulinzi unaoendelea.
Wizara hiyo pia haikuondoa matumaini yake kwamba mkakati wa Russia wa kuuteka mji wa Avdiivka wa Ukraine ungefanya kazi.
Forum