No media source currently available
wakimbizi wanaoishi katika kambi huko Afrika Mashariki wananyanyaswa na usalama wao mara nyingi uko hatarini. Watoto pia wanakabiliwa na tatizo la kukosa masomo ya kawaida.