Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 01:51

Vifaa vya mamluki wa Wagner huwenda vikaingizwa kikosi cha taifa cha Russia

Kundi la mamluki la Wagner pamoja na kiongozi wake wa zamani Yevgeny Prigozhin kabla ya kifo chake cha ajali ya ndege
Kundi la mamluki la Wagner pamoja na kiongozi wake wa zamani Yevgeny Prigozhin kabla ya kifo chake cha ajali ya ndege

Kundi hili jipya linaonekana kuongozwa na Pavel Prigozhin, mtoto wa marehemu Yevgeny Prigozin ambaye aliongoza kundi hilo kabla ya kifo chake cha ajali ya ndege wiki kadhaa baada ya kutupiana maneno yaliyomlenga kiongozi wa Russia, Vladimir Putin.

Vifaa vikubwa vya kundi la mamluki la Wagner huenda vitaingizwa katika muundo wa kamandi ya kikosi cha taifa cha ulinzi cha Russia (Rosgvardiya) Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilisema Jumapili katika ripoti yake ya kila siku ya ujasusi juu ya Ukraine.

Kundi hili jipya linaonekana kuongozwa na Pavel Prigozhin, mtoto wa marehemu Yevgeny Prigozin ambaye aliongoza kundi hilo kabla ya kifo chake cha ajali ya ndege wiki kadhaa baada ya kutupiana maneno yaliyomlenga kiongozi wa Russia, Vladimir Putin.

Aidha, ripoti hiyo inasema wapiganaji wa Wagner na wafanyakazi wa afya pia wamejiunga na vikosi maalum vya Chechnya. Russia hivi sasa inafanya udhibiti wa moja kwa moja kwa shughuli za Wagner Group, Wizara ya Ulinzi ya Uingereza imesema.

Forum

XS
SM
MD
LG