Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 23:46

Usikose kuangalia mkutano wa wataalam wa afya wa kimataifa Jumatano


Mkutano wa VOA na wataalam wa afya wa kimataifa

Wataalam wa Afya wa kimataifa watajibu maswali mbalimbali juu ya maambukizi ya virusi vya corona na namna ya kujikinga

Tulipokea maswali yenu na wataalam hao watajibu na kutoa ushauri mbalimbali. Fuatilia makala hii maalum itakayokuwa katika mitandao ya kijamii ya voaswahili Jumatano.

XS
SM
MD
LG