Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 29, 2024 Local time: 07:21

Mapigano ya mitaani kati ya wanajeshi wa Russia na Ukraine yaongezeka


Mapigano ya mitaani kati ya wanajeshi wa Russia na Ukraine yaongezeka
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:15 0:00

Ukraine inakabiliwa na matatizo makubwa katika baadhi ya maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo, huku kukiwa na mapigano makali ya barabarani katika mitaa kwenye mji muhimu wa Severodonetsk. Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilisema kwamba sehemu kubwa ya jiji hilo sasa iko mikononi mwa Russia.

XS
SM
MD
LG