Kundi la kigaidi la Islamic State limedai kuhusika na milipuko miwili ya mabomu katika mji mkuu Kampala, yaliyouwa raia wawili, ofisa mmoja wa polisi na kujeruhi watu wengine 33, huku baadhi yao wakiwa mahututi. Kundi la IS limesema lilihusika na mashambulizi hayo mjini Kampala.
Matukio
-
Desemba 17, 2024
Makundi ya haki yanafurahia mahakama maalum ya uhalifu wa Gambia
-
Novemba 23, 2024
Mwanamuziki Chris Stapleton atwaa tuzo 4 za muziki wa Country