Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 05:51

Trump asema ubaguzi ni kinyume cha maadili 'yetu Marekani'


Rais Donald Trump
Rais Donald Trump

Rais Donald Trump amelaani sera za ubaguzi wa rangi zilizopelekea tukio la kinyama katika maandamano ya watu wenye itikadi hizo waliokusanyika huko Charlottesville, Virginia, akisema kuwa “ubaguzi ni dhambi.”

Kwa mara ya kwanza tangu machafuko hayo yatokee, Trump ametaja kwa jina sera za kinazi, Kikundi cha Ku Klux Klan, na ubaguzi wa rangi ni “wahalifu na wezi… ambayo ni kinyume cha kila maadili tunayoyafuata nchini Marekani.”

Aliahidi kuwa mtu yoyote aliyefanya “vitendo vya ubaguzi wa uvunjifu wa amani” katika eneo la Charlottesville atawajibishwa. “Haki itatendeka,” amesema.

Trump amesema kile kilichotokea Charlottesville ni “ouvu wa hali ya juu uliosababishwa na chuki, ubaguzi na uvunjifu wa amani.”

“Alisema hilo halina nafasi nchini Marekani na kama nilivyo sema mara nyingi hapo awali, bila ya kuangalia rangi za ngozi zetu, sote tunaishi chini ya utawala wa sheria,” amesema.

Matamko ya Trump yalifuatiwa na lawama kutoka makundi mbalimbali ya kisiasa kwa kushindwa siku mbili kutumia maneno ya ubaguzi na sera za kinazi kulaani vitendo hivyo vya uvunjifu wa amani.

Rais Donald Trump amelaani sera za ubaguzi wa rangi uliopelekea tukio la kinyama katika maandamano yao huko Charlottesville, Virginia, akisema kuwa “ubaguzi ni dhambi.”

Kwa mara ya kwanza tangu machafuko hayo yatokee, Trump ametaja kwa jina sera za kinazi, Kikundi cha Ku Klux Klan, na ubaguzi wa rangi ni “wahalifu na wezi… ambayo nikinyume cha kila maadili yaliyopo Marekani.”

Aliahidi kuwa mtu yoyote aliyefanya “vitendo vya ubaguzi vya uvunjifu wa amani” katika eneo la Charlottesville atawajibishwa. “Haki itatendeka,” amesema.

Trump amesema kile kilichotokea Charlottesville ni “ouvu wa hali ya juu ulisababishwa na chuki, ubaguzi na uvunjifu wa amani.”

“Alisema hilo halina nafasi nchini Marekani na kama nilivyo sema mara nyingi hapo awali, bila ya kuangalia rangi za ngozi zetu, sote tunaishi chini ya utawala wa sheria,” amesema.

XS
SM
MD
LG