Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 16:50

Safari za ndege ya abiria zaanza kati ya Pakistan na Afghanistan


Safari za ndege ya abiria zaanza kati ya Pakistan na Afghanistan
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:30 0:00

Ndege ya kimataifa ya biashara imeondoka Kabul Jumatatu ikiwa ya kwanza tangu Taliban kuchukua madaraka mwezi uliopita, ikitoa ishara ya matumaini kwa Waafghanistan ambao bado wanataabika kuondoka nchini kwao.

XS
SM
MD
LG