Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 16:58

Rais wa zamani Marekani Donald Trump anatarajiwa kufika mbele ya mahakama Jumanne


Rais wa zamani Marekani, Donald Trump
Rais wa zamani Marekani, Donald Trump

Trump anatarajiwa kufika mbele ya mahakama ili kufahamishwa rasmi mashtaka yanayomkabili yanayohusu nyaraka za siri za serikali

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump atafika mbele ya mahakama ya mjini Miami katika jimbo la Florida nchini Marekani siku ya Jumanne ili kufahamishwa rasmi mashtaka yanayomkabili yanayohusiana na nyaraka za siri za serikali alizochukua na kuzipeleka kwenye makazi yake yaliopo huko Florida.

Patrick Nduwimana wa VOA Swahili amezungumza na Profesa Timothy Sadera mchambuzi wa siasa za Marekani kutoka jimbo la Georgia na ameanza kwa kumuuliza tofauti iliyoko kati ya kesi hii na kesi nyingine zinazomkabili Trump.

Profesa Timothy Sadera akizungumza na VOA Swahili.m4a
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:59 0:00

Forum

XS
SM
MD
LG